Swali: Haya mafuta yaliyopanda bei yameingia lini nchini?

Swali: Haya mafuta yaliyopanda bei yameingia lini nchini?

Ilibidi bei mpya tuanze kuitumia Jumatano ijayo au sio, kuna ka ukilitimba fulani kuwa lazima mafuta bei yake ibadilike Jumatano kuna nini na jumatano
 
Mafuta yalikuwepo,

Bei za ewra zinatokana na tozo ya 100 iliyorejeshwa nasi mzigo mpya ulioingia.

Fedha ya mfanyabiashara haiendi Bure, ukimtoza 100 lazima aongeze 200 kwenye hiyo 100.
 
Back
Top Bottom