SWALI:Heslb hakuna sababu ya kuchukua 30000 ........

SWALI:Heslb hakuna sababu ya kuchukua 30000 ........

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Habari zenu wadau wa jukwaa hili??

Baada ya habari embu leo naomba tuangalie haya mambo wanayofanyiwa watanzania wanzetu tena wenye uhitaji wa kupata elimu.

Kwa kifupi tu nianze na utaratibu tu wa bodi ya mikopo baada tu ya kutangaza tarehe ya kutuma maombi hayo,kwa wale wa maisha plus cha kwanza ni kwenda.

-Unalipia TSH 30000 ili uendelee na kujisajiri.
-internet cafee utatumia TSH 500 KWA SAA(DAR), 1500 au 2000(DOM) etc..
-Unajaza form na kuzi print kwa page kawaida ni 500 ,sehemu zingine mpaka 1000.
-Kwenda mahakamani ku-hakiki vyeti kwa cheti kimoja ni 1500 mpaka 2000,ila kwa mawakili binafsi mpaka 5000.
-Gharama za kutuma ni kwa njia ya EMS ni TSH 6000 na kuendelea hapa sijajua nje ya mkoa wa DAR ni sh ngapi.
mpaka unamaliza hii zoezi hapa si chini ya 60000 imekatika hivi hivi kiraisi raisi.

Mwisho wa siku hawa watoto wanakosa kabisa mikopo na kushindwa kuendelea kimasomo.Nawauliza hii elfu 30000 ni yanini ???

yaani mtu unashida na pesa unalipishwa pesa alafu unakosa hivi hivi hawa viongozi wamelala kabisa juu ya huu wizi?
 
bro kiukweli inauma sana aiseee me mwenyewe cjapewa mkopo roho inauma sana
 
Dai haki yako ,hapa bila kukomaa hampati kabisa hiyo hela, watu wanataka kumalizia nyumba zao bwana kujenga....
komaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ila siku hizi hakuna watu wanaoweza kuhoji mambo
 
mie nilitumia kama laki hivi. Mana mtandao ulikua unasumbua sana,kwahyo kila nikienda internet natoa buku kwa muda wa wiki mbili.. Nilienda bodi ya mikopo pale msasani mara 5 kufatilia na kwetu ni mbali sana na nlitumia
 
Ninatamani kuwepo ila niko mbali sana (njombe) najua watakaofika kwa anayejiita mtoto wa mkulima watatuwakilisha.
 
Sio sili kabisa wanataka kutuchakachua live live bila uluma yaniiiiiiiii inatish sanaaaa
 
halafu walivyo matapeli mbona hawakuwaambia watu kama ukimaliza miaka mitatu nyuma hupewi mkopo?walitaka kuwaibia watu elf 30 zao tu hao,yaani mtu unaweza kuwashtaki hivi hivi,wezi wakubwa,yaani kuna watu nimeona wameambiwa hivyo,nahisi hawakufanya fair maana bora wangewaambia watu wasiombe
 
Ilikuwa iv kwetu mbeya internet form dowloading 5OOO had 7000,mahakaman 2000 hadi 5000 kwa mhur mmoja posta ems 11700 paspot size 3000 nauli ya kuifikia posta inategemea wap unaish affidatives pia zilihusika sh 2000 inategemea na mahakama alafu heslb wanakuja kuzingua duuuu all in all ilikuwa biashara nzuri ya mahakama kwan walitumia fursa ipasavyo
 
Ilikuwa iv kwetu mbeya internet form dowloading 5OOO had 7000,mahakaman 2000 hadi 5000 kwa mhur mmoja posta ems 11700 paspot size 3000 nauli ya kuifikia posta inategemea wap unaish affidatives pia zilihusika sh 2000 inategemea na mahakama alafu heslb wanakuja kuzingua duuuu all in all ilikuwa biashara nzuri ya mahakama kwan walitumia fursa ipasavyo

Duh hii kali.
 
Munaenda kwa nani...??

Katibu mkuu wa CDM,alishasema mzigo ni mzigo tu,naye ni mzigo tuu serikalini...

Kuna wakati alikuwa anajiita mtoto wa mkulima,mnafiki mkubwa sana yule,,,,akatangaza mpaka ela za account zake,hiyo yote unafiki tu,,,,mzigo huu,,inabidi tuutue tu,,,,,,tumechoka sana.
 
Back
Top Bottom