zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Habari zenu wadau wa jukwaa hili??
Baada ya habari embu leo naomba tuangalie haya mambo wanayofanyiwa watanzania wanzetu tena wenye uhitaji wa kupata elimu.
Kwa kifupi tu nianze na utaratibu tu wa bodi ya mikopo baada tu ya kutangaza tarehe ya kutuma maombi hayo,kwa wale wa maisha plus cha kwanza ni kwenda.
-Unalipia TSH 30000 ili uendelee na kujisajiri.
-internet cafee utatumia TSH 500 KWA SAA(DAR), 1500 au 2000(DOM) etc..
-Unajaza form na kuzi print kwa page kawaida ni 500 ,sehemu zingine mpaka 1000.
-Kwenda mahakamani ku-hakiki vyeti kwa cheti kimoja ni 1500 mpaka 2000,ila kwa mawakili binafsi mpaka 5000.
-Gharama za kutuma ni kwa njia ya EMS ni TSH 6000 na kuendelea hapa sijajua nje ya mkoa wa DAR ni sh ngapi.
mpaka unamaliza hii zoezi hapa si chini ya 60000 imekatika hivi hivi kiraisi raisi.
Mwisho wa siku hawa watoto wanakosa kabisa mikopo na kushindwa kuendelea kimasomo.Nawauliza hii elfu 30000 ni yanini ???
yaani mtu unashida na pesa unalipishwa pesa alafu unakosa hivi hivi hawa viongozi wamelala kabisa juu ya huu wizi?