Teh teh.. bro naona umeamua usimung'unye manenoWe ni fala sana...!
Ha ha ha du mentor kwann lkn, lolWe ni fala sana...!
aah khantwe wee,natamanigi sana nikujue Ndugu yangu, manake huwa najaribu ku connect dots kati ya avatar na jina....Kwa hiyo usiniambie hiyo text hujajibu mpaka sasa unasubiri majibu uyapate hapa
Hahaa kunijua tena mkuu duuaah khantwe wee,natamanigi sana nikujue Ndugu yangu, manake huwa najaribu ku connect dots kati ya avatar na jina....
Mentor umetishaWe ni fala sana...!
Unajua kuulizamaswali tu kujibu huwezi,asa kitendo cha kusema ndio unashindwa kwani ni dada yako huyoNlisoma na binti flan shule moja yasekondar.nlikuwa namzidi kidato.juzijuzi nimpata whatsap.
Tulichat sana.mwisho nlimuuliza kama kaolewa .jibu lilikuwa hapana likifuatiwa na swali lingine "je ulitaka unioe?" nlishindwa kujibu moja kwa moja hapo ukweli nlitaka kumuaproach.sasa wadau nauliza hivo hili swali ukiulizwa na mwanamke kweli humaanisha?