Swali hili anamaanisha kweli?

Swali hili anamaanisha kweli?

nyamva

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
244
Reaction score
155
Nlisoma na binti flan shule moja yasekondar.nlikuwa namzidi kidato.juzijuzi nimpata whatsap.
Tulichat sana.mwisho nlimuuliza kama kaolewa .jibu lilikuwa hapana likifuatiwa na swali lingine "je ulitaka unioe?" nlishindwa kujibu moja kwa moja hapo ukweli nlitaka kumuaproach.sasa wadau nauliza hivo hili swali ukiulizwa na mwanamke kweli humaanisha?
 
We mwendee taratibu utagundua anamaanisha au anatania.
 
Ndio nyie bi shost akilike pic/status yako fb unajua kakuzimia. Sasa si uliulizwa swali kwanini hukujibu?
 
Kwa hiyo usiniambie hiyo text hujajibu mpaka sasa unasubiri majibu uyapate hapa
aah khantwe wee,natamanigi sana nikujue Ndugu yangu, manake huwa najaribu ku connect dots kati ya avatar na jina....
 
Nlisoma na binti flan shule moja yasekondar.nlikuwa namzidi kidato.juzijuzi nimpata whatsap.
Tulichat sana.mwisho nlimuuliza kama kaolewa .jibu lilikuwa hapana likifuatiwa na swali lingine "je ulitaka unioe?" nlishindwa kujibu moja kwa moja hapo ukweli nlitaka kumuaproach.sasa wadau nauliza hivo hili swali ukiulizwa na mwanamke kweli humaanisha?
Unajua kuulizamaswali tu kujibu huwezi,asa kitendo cha kusema ndio unashindwa kwani ni dada yako huyo
 
Back
Top Bottom