SWALI: Hivi huyu Mrisho Mpoto ndio nani?!

SWALI: Hivi huyu Mrisho Mpoto ndio nani?!

na hakika sana juu ya ilo, Am wondering msalani uwa anaingia vipi? lazima uwa anavaa viatu la sivyo atakuwa ni mchafu aliyetukuka na asiyemfano wa kuigwa.

napenda mashairi yake sana.
okay ...maisha haya ndugu " ukiwa katika mainstream lazima uwapotoshe watu kwa kuwaaminisha uwongo kuwa ndio kweli " ili waweze kukufuata.... mimi nimeshakaa sana na Jamaa..nimvaaji viatu mzuri tu..muda wote "" ila ndio kama hivyo nilivyokwambia..akitokea kwenye media au mkusanyiko wa watu wengi ..kama mwenge ..mbagala..Posta lazima atembee peku...lakini inakuwa si tatizo sana kwa sababu hatembei umbali mrefu kwa sababu anakuwa anausafir ambao ameuacha mahali
 
Hakika mkuu,

maana haimake sense Mtu kutembea peku kwa minajiri eti analinda mira na desturi za babu zetu ukim search mfukoni unakutana na Smartphone matata ya bei ghali sana......shubaamit
 
Mimi nilijua anavua viatu wakati wa kuperform au kurekodi mziki lakini alipokuja kusema oho kutembea peku kuna raha yake nikajua tu kuna tatizo mahali
 
Ni kichaa fulani tu huyo ndio maana alipo jaribu kutembea peku Arusha alipigwa kibao cha maana akakimbilia polisi kutafuta viatu.
 
Back
Top Bottom