Misemo ya kuvutia ya Robert Mugabe aliyozungumza maeneo mbalimbali katika warsha tofauti tofauti.
1. Bikira ni zawadi pekee kwa mwanaume kutoka kwa mwanamke aliemuoa siku baada ya harusi lakini hivi sasa hakuna kitu kama hicho kwa vile hivi sasa zawadi hiyo inapewa kama siku ya kuzaliwa, kusaidia kupata kazi, kununuliwa gari, kupangishiwa nyumba etc.
2. Tunza vizuri kila sehemu ya taulo lako kwa sababu sehemu ya taulo ambayo imefuta makalio yako leo, kesho itafuta uso.
3. Tunaishi katika kizazi ambacho wapenzi wako huru kushikana sehemu nyeti, ila sio kushika simu ya mwenzako.
4. Muda mwingine unaangalia nyuma kutizama wanawake ambao umetumia pesa zako kuwagharamia badala ya kumtumia mama yako hizo pesa na unaamini kumbe kweli uchawi upo.
5. Kama weww ni mume wa mtu na unajikuta ukivutiwa na wasichana wa shule, mnunulie mkeo sare za shule.
6. Kama Rais Barack Obama anataka mimi niruhusu ndoa za jinsia moja katika nchi yangu ya Zimbabwe, aje Zimbabwe ili nimuoe kwanza yeye.
7. Msigombanie wanawake! Nchi imejaa wanawake wengi warembo. Kama umeshindwa kumpata mmojawapo njoo kwa Mugabe.
8. Sigara ni tumbaku kidogo ambayo imezungushiwa karatasi, ikiwa na moto upande mmoja na mpumbavu katka upande mwingine akivuta.