SWALI: Hivi ni kweli Rais Mugabe ndiyo anayetoa hii misemo inayosambaa WhatsApp kila siku?

Even if GOD decides to invite us all to heaven with a phone Call...some girls would still ask him,how did u get my number.
Robert mugabe(latest)
 
Sifa hizo ni kwa Robert Mugabe wa kichina.

Angekuwa halisi mbona sukari iliyoadimika Tanzania ingeagizwa kutoka Zimbabwe?
 
Hizi tamu sana haswa ungeziweka kiswahili,lakini nimeipenda hiyo ya " HAKUNA MAPENZI KABLA YA NDOA !!!!!!! KAMA HUO NDIO MPANGO WA MUNGU BASI ANGETUPA "DUDU" NA "KEI" SIKU YA NDOA.
 
Ni misemo ya kutunga tu
 

Sidhani km ni kweli, wanamsingizia
 

Attachments

  • FB_IMG_1468660040904.jpg
    27.8 KB · Views: 352
ni kweli mugabe ni mtaalamu wa misemop.

ila hii ya kwenye mitandao wanamsingizia tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…