Swali; hivi tanzania tuna wizara ya elimu au wizara ya ujinga?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
2,156
Reaction score
639
Majukumu ya wizara ya elimu ni kusimamia mfumo mima wa utoaji wa elimu. Kimsingi ukitazama matokeo ya kumaliza shule ya sekondari na msingi kwa miaka 3 ya mwisho kbala ya 2012 unaweza kushindwa kuelewa ni aina gani ya wizara hasa tuliyonayo.ni wizara ya elimu au wizra ya ujinga.mwaka jana waliofeli yaani waliopata sifuri walikuwa 50% mwaka huu ni 60%. Mimi nadhani kuwa hatuna wizara ya elimu bali tunayo wizara ya ujinga na ndo mana wanafunzi wanapomaliza shule zinazosimamiwa na wizara hii wanaishia kufeli.
 
Wanapunguza idadi ya wanafunzi watakaokuja kuomba mikopo ya elimu ya juu. Inawezekana pia waliofeli wengi wametokea shule za kata.
 
mwisho wa serikali ya cccm! tumekuchoka ccm hakuna haja ya kuwa na shule za kata kama wanafunzi wote wanao toka huko ni wale wanao pata sifuri! kweli Tanzania ni kichwa cha wenda wazimu!
 
Naibu waziri wa elimu hajui hata Tanzania ni muunganiko wa nini na nini,wanafunzi wanaojiunga form one hawajui kuandika wala kusoma,jiulize wanafauluje,mda wa CCM umeshaisha.
 
waziri a resign..

this is absolutely disgraceful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…