Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 639
Majukumu ya wizara ya elimu ni kusimamia mfumo mima wa utoaji wa elimu. Kimsingi ukitazama matokeo ya kumaliza shule ya sekondari na msingi kwa miaka 3 ya mwisho kbala ya 2012 unaweza kushindwa kuelewa ni aina gani ya wizara hasa tuliyonayo.ni wizara ya elimu au wizra ya ujinga.mwaka jana waliofeli yaani waliopata sifuri walikuwa 50% mwaka huu ni 60%. Mimi nadhani kuwa hatuna wizara ya elimu bali tunayo wizara ya ujinga na ndo mana wanafunzi wanapomaliza shule zinazosimamiwa na wizara hii wanaishia kufeli.