Nilijua tu, unataka uonekane mjuaji wa jiji kumbe vumbi tu.Unataka daladala zima wajue kuwa huyu kaka mshamba. Konda atakupa jibu ambalo hukutegemea.
Asante sana mkuu.Panda hapo riverside daladala zinazotokea buguruni kwenda mbezi mwisho alafu ukishuka tu na kituo cha mabasi utakiona ni kama mita mia mpk kufika stendi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mtizamo wako tu..binafsi huwa namuuliza konda sijawahi kupata jibu bovu....pengine inategemea na ulivyoulizaUnataka daladala zima wajue kuwa huyu kaka mshamba. Konda atakupa jibu ambalo hukutegemea.
Ha ha ha tena saa 11 asubuhi kaamka na double kick kichwani lazima akusemee maneno mabovu.Mwambie konda "Hoya konda siyo unapiga kelele njiani hatusikilizani kwenye gari na harufu yako ya jasho na mdomo. Hebu nambie napotaka kwenda kituo cha ma bus ya mkoani mbezi mwisho nishukie wapi?"
Hapo atakupeleka mpaka kwenye bus unalotaka kupanda atakuogopa.
Hahaa hivi ni kwa nini Dar ukiuliza kitu unaonekana mshamba?Unataka daladala zima wajue kuwa huyu kaka mshamba. Konda atakupa jibu ambalo hukutegemea.
Pamoja kaka huwezi potea fuata maelekezo tu.Asante sana mkuu.
Utakaposhuka Stand ya Daladala utaiona Stendi Mpya ile paler upande was pili. Ni kiasi cha kuvuka Mor Road tu.Ninasafiri kesho asubuhi sana. Je, nikipandia daladala za Mbezi hapa Ubungo Riverside nashukia kituo gani huko Mbezi?
Je, Daladala zinazitokea Buguruni na Mbagala kwenda Mbezi zinaishia stendi ya Magufuli/Mbezi?
Pana umbali gani kutoka stendi ya daladala Mbezi mwisho hadi stendi ya Magufuli?
Msaada wenu ndugu zangu mimi sio mtembeaji sana ndio maana nimeuliza haya.
Asante sana mkuu.Utakaposhuka Stand ya Daladala utaiona Stendi Mpya ile paler upande was pili. Ni kiasi cha kuvuka Mor Road tu.
Na kama umebeba begi basis no rahisi zaidi.
Utagombewa na Waliga Debe was Kiume na was Like...!!?[emoji16][emoji16]