Swali ilipo Stendi mpya ya Mbezi

Asante sana mkuu
 
mtizamo wako tu..binafsi huwa namuuliza konda sijawahi kupata jibu bovu....pengine inategemea na ulivyouliza

Kama mimi tu, watu wanadhani kutoijua sehemu ni ushamba.
 
Hahaa ivi ni kwa nini dar ukiuliza kitu unaonekana mshamba?
Ni mtu tu kujishtukia, haiwezekani ukafahamu kila sehemu na kila kitu, kuuliza ni muhimu.
Mimi nauliza chochote ambacho sifahamu na sijawahi kujibiwa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…