Swali: Jamani Danga ni Nani?!

Swali: Jamani Danga ni Nani?!

"Danga ni mtu ka mimi, anaye honga sana mademu alafu ananyimwa chini"

Mwisho wa kunukuu!


Sent using akili yangu
 
Makala zako ni risiti tosha.
Kama ni mtihani ushapata division 0
Hauko tofauti na Aslay alieenda London hakupata faida akadondosha mamilioni ya hasara. .. sikunyingine Tumia akili kabla hujacomment
 
"Danga ni mtu ka mimi, anaye honga sana mademu alafu ananyimwa chini"

Mwisho wa kunukuu!


Sent using akili yangu
Kwahiyo we ni Free Mason?!
Unagawa hela huchukui uroda unakamata destinies za watu?!
 
Danga ni maziwa ya binadamu/ng'ombe
Kudanga ni tabia ya umalaya ya kitolizika na mbia 1au mwenza
 
Mkuu hili swala limekugusa, mbona umechukulia serious ivyoo? [emoji23][emoji23]


Sent using akili yangu
La! Mimi ni mdau wa kiswahili natoa maana iliyopo kwenye kamusi, kauliza nikajibu. Alipotaka kujua kamusi gani nimemtajia, sijachukulia serious kivile na wala halijanigusa. Nimemjibu alivyouliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom