Swali je Inawezekana Mwigulu katupiwa jini ''Sakizi'' ? linakufanya ufanye vitu vya ajabu

Swali je Inawezekana Mwigulu katupiwa jini ''Sakizi'' ? linakufanya ufanye vitu vya ajabu

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
Wadau nahisi huyu Waziri katupiwa hilo Jini angewahi au awahishwe kwa mafundi..

Jini Sakizi ukitupiwa linafanya maajabu ajabu tu yaani mtu akikuudhi unaweza hata muua hapo hapo
Watu waliwahi tupiwa mifano yake kama Ditopile alichukizwa tu na Dereva wa Daladala kusimamisha bus barabarani akashuka na Bastola akamfyatulia tu Dereva wa Watu akadedi.
Mtu kama mfano wake Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Mwanza raisi keshasema hataki kuona mabango akitembelea Mkoa yeye ndie akawa anahamsisha Mabango yawepo na hata Matusi yaandikwe ''SAKIZI'' hatari

Sakizi linawatuma watu hadi wanabaka vitoto au Vikongwe wanyama n.k

Zile Issue za Kuombea viongozi nadhani zishaisha.. Sakizi limechukua nafasi yake
 
Uchumi wa Tanzania upo under Attack!
 
Back
Top Bottom