Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kunakuwa na upungufu wa madini fulani hivi ndo maana wanapata hamu ya udongo, maana yake ni kuwa mtu anayekula balanced diet hawezi tamani udongoHili suala la wanawake wa kiafrika kupenda kula udongo kipindi cha ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
Mmoja wa shemeji/wifi zako ambae ni mzungu alinisaidia sana kumrekebisha huyu wa kitanzania maana alikuwa akinivizia mimi nimesafiri (kwenda kwa mzungu) ndo yeye anakula maudongo.Hili suala la wanawake wa kiafrika kupenda kula udongo kipindi cha ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
kunakuwa na upungufu wa madini fulani hivi ndo maana wanapata hamu ya udongo, maana yake ni kuwa mtu anayekula balanced diet hawezi tamani udongo
Ni bora ungewauuliza wanawake wakizungu..mkuuHili suala la wanawake wa kiafrika kupenda kula udongo kipindi cha ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
Hv tuna mwanamke wa kizungu humu atoe ufafanuzi.....Hili suala la wanawake wa kiafrika kupenda kula udongo kipindi cha ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
JIBU: Hapana.Hili suala la wanawake wa kiafrika kupenda kula udongo kipindi cha ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
Duh kumbe tatizo ni lishe. Sasa hiyo lishe anatakiwa aipate kabla ya mimba au kipindi anapokuwa na mimba.Mmoja wa shemeji/wifi zako ambae ni mzungu alinisaidia sana kumrekebisha huyu wa kitanzania maana alikuwa akinivizia mimi nimesafiri (kwenda kwa mzungu) ndo yeye anakula maudongo.
Huyu mzungu alikuwa akipiga zake salad za matunda au tikiti maji tena lenye ubaridi na hulimaliza lote kwa hamu.
Huyu mwafrika mwenzangu baadae nikamzoesha akawa atumia hivyo pamoja na tangawizi, limau kidogo na asali kwenye chai na pia supu ya mtori yenye limau au ndimu kidogo ili kuua ile hali.
Na mwisho akaacha udongo na kuwa mpenzi wa tikiti maji.
Hivyo yahusu zaidi uchaguzi na uangalifu katika vyakula mwanamke apatapo ile hali akiwa mjamzito.
Halafu kuna supplement kama Folic Acid nayo husaidia ingawa haitakiwi kula kupita kiasi.
Si haba, sasa watoto wakubwa na nimesahau masuala haya maana huyu wa Tanzania alikuwa akideka sana khasa alipoona kuna yule mzungu.
Ile hali ya wanawake inatokana na uchafu au toxins kujaa tumboni hivyo kuwapa hiyo hali na hutokea kwenye miezi 3 hivi ya ujauzito.
Hivyo kwa kifupi udongo kwa mzungu ni big NO lakini kwa waafrika ni jadi na wengine hata kama wako huko ughaibuni basi huagizia kabisa kutokea Kariakoo Daesaaama.
Ila udongo hupo ni hatari kwa afya ya mama na mtoto.
Udongo wake ni chokoleti, ulaji wa udongo hutokana na upungufu wa madini ya chuma mwilini unaosababishwa na umasikini unaopelekea lishe duni.Hili suala la wanawake wa kiafrika kupenda kula udongo kipindi cha ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
Nafikiri swala la kula udongo sio kwa wanawake wote, maana mimi mke wangu katika mimba mbili alizobeba hukuwahi kula udongo kabisa. Hili linahusu mtu na mtu kwa ufahamu wanguHili suala la wanawake wa kiafrika kupenda kula udongo kipindi cha ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
hata wanawake wa Mbezi beach , oysterbay na Masaki hawali huo uchafu , hayo ni mambo ya Tandika na MbagalaHili suala la wanawake wa kiafrika kupenda kula udongo kipindi cha ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.