swali: je ni kweli wanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa?

swali: je ni kweli wanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa?

Ndivyo nilivyofundishwa na my biology teacher when i was in form 3 2003, pia nilivyofundishwa wen was chuo durin my first year, pia ndio nilivyopata uelewa toka vitabu vya waandish mbalimbali, so as far branches ov truth in philosophy are concern the answer to ur query is YES.
 
habarini wanaMMU. leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa COS wakat mwanaume anafika kwny peak hutoa mbegu aina 2 yan X & Y yan X ni female na Y ni male.mbegu Y obvious ni dhaifu na huweza kufa haraka kuliko X. ndo maana wanawake ni weng kuliko wanaume. pili,ukiwaweka m-mme na m-mke bila chakula kwa cku kadhaa m-mme atakufa haraka kabla ya m-mke.JE KUNA UKWELI KTK HIL
Hii ni kweli scientifically proved....ila kinachokuja kunishangaza kwanini katika hali halisi ya maisha ya binadamu mwanamke ndo dhaifu kuliko mwanaume? Sijui wataalam wanaweza kuja na theory gani kwa hili?
 
Usijali charm wala hauja ni kwaza kwa chochote! Usijali mimi nimeamua kujificha tu na ulichosema ni ukweli mtupu!
mkuu mimi nimeuliza swali, nahitaji kuelimishwa. c kwamba nafichua ukweli bali ni katika kutaka kueleweshwa kuhusu mada tajwa! samahani kama ntakuwa ninakukwaza. . .
 
mnajifariji eeeeh.... vidume vitaendelea ku-survive na kuendelea kuwepo na kuwamimbisha bila kujali kama kuna hizo X and Y chromosomes

We ni chizi maarifa hahaha, mnatumimbisha eeh! labda kama uzazi na mpango umekufa leo asubuhi au muda huu na type.
 
habarini wanaMMU.
leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa COS
wakat mwanaume anafika kwny peak hutoa mbegu aina 2 yan X & Y yan X ni female na Y ni male.mbegu Y obvious ni dhaifu na huweza kufa haraka kuliko X. ndo maana wanawake ni weng kuliko wanaume. pili,ukiwaweka m-mme na m-mke bila chakula kwa cku kadhaa m-mme atakufa haraka kabla ya m-mke.JE KUNA UKWELI KTK HIL

Siku hizi MMU nayo inaanza kuwa jukwaa la mastress. Ngoja nisepe zangu jukwaa pendwa, stress free CHIT CHAT!!
Mungu libariki jukwaa letu pendwa!!
 
Ni kweli kulingana na maelezo yako na hata kwenye familia mama anapofariki baba huyumba sana na familia aliyoachwa nayo na hata kupelekea kuzohofu mwili na hata kiakili.
 
mnajifariji eeeeh.... vidume vitaendelea ku-survive na kuendelea kuwepo na kuwamimbisha bila kujali kama kuna hizo X and Y chromosomes
mkuu kwenye ukweli tuwe wazi hakuna haja ya kubisha ebu rudia kusoma uzii wake vizuri.
 
asante Mtambuzi, je unakubali kuwa mwanaume ni dhaifu, kama unakubali ni kigezo gani wanachotumia kusema mwanamke ni dhaifu?

Nukuhunga mkono wanawake wako sana ngangali ki-physiolojia tatazo lao kubwa ni "KUDANGANYIKA KIRAHISI" hata awe ame elimika kiasi gani, akitokea njemba ambaye ni mahili kujieleza basi sijuhi akili zenu kwa nini huwa zinahama kwa muda mnajikuta mnafanya mambo ya KUSHANGAZA with a noboby!

Siwasemi kwa nia mbaya, lakini mimi hicho huwa kina nishangaza sana! Kibaolojia wanawake utumia hemiphere zote za ubongo wao i.e left and right simultaneously tofautati kabisa na wanaume wanao tumia predominantly upande mmoja! Mtu ungetegemea wanawake wangekuwa na analytical mind mara dufu ya wanaume, lakini for some reason mambo yako tofauti KABISA - may I know WHY, her majesty CharmingLADY?
 
ngoja kwanza niingie kweye mimba mara moja nikititoka nitatoa jibu,hilo la kufa mapema lina ukweli kimaumbile.
 
Labda nunieleweshe kidogo;anakuwa dhaifu kwenye lipi?
 
mnajifariji eeeeh.... vidume vitaendelea ku-survive na kuendelea kuwepo na kuwamimbisha bila kujali kama kuna hizo X and Y chromosomes

hatujabisha Cartura ndio vidume vitaendelea kusurvive ila , ujue wanaume wengi siku hizi hawatoi Y chromosome kwa wingi ndo maana ukienda wodi ya wazazi utakuta kati ya watoto 36 waliozaliwa 2 tu ndo wanaume , afu ujue hizi chips yai na vyuku vya kidhungu vina impact on sperm production haha labda mle pweza na ngisi ndo zina protein nyingi upo
 
MtotoSix unaposema kwamba m-mme anahitaji vyakula vya wanga zaidi kutokana na nature yake,let say mama ni manager wa bank A na baba ni manager wa B.wakitoka job mama lazma akifka hm acheck mpangilio umekwenda aandae mazingira ya kesho yake na obvious atakuwa wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka wakati huo kaz zao ni sawa tena ukute subordinates wa mama ni weng kuliko wa baba. na bado chakula cha usiku kwa baba lazima atoe. so nani anahitaji vyakula vya ziada?
 
Last edited by a moderator:
Nukuhunga mkono wanawake wako sana ngangali ki-physiolojia tatazo lao kubwa ni "KUDANGANYIKA KIRAHISI" hata awe ame elimika kiasi gani, akitokea njemba ambaye ni mahili kujieleza basi sijuhi akili zenu kwa nini huwa zinahama kwa muda mnajikuta mnafanya mambo ya KUSHANGAZA with a noboby!

Siwasemi kwa nia mbaya, lakini mimi hicho huwa kina nishangaza sana! Kibaolojia wanawake utumia hemiphere zote za ubongo wao i.e left and right simultaneously tofautati kabisa na wanaume wanao tumia predominantly upande mmoja! Mtu ungetegemea wanawake wangekuwa na analytical mind mara dufu ya wanaume, lakini for some reason mambo yako tofauti KABISA - may I know WHY, her majesty CharmingLADY?

Bukyunagandi hapo kwenye bold sio kwamba tunadanganyika kirahisi hivyo ila its this way we give much trust to you men which you don't deserve nyie mnafikiria mnatucheat kumbe sie waga tukifall huwa tunamaanisha ,nyie mnafikiri kutunanhii tu afu mnasepa ok fyn we do agree sometimes , but the problem of us e fail to filter lies and truth thats it
 
MtotoSix unaposema kwamba m-mme anahitaji vyakula vya wanga zaidi kutokana na nature yake,let say mama ni manager wa bank A na baba ni manager wa B.wakitoka job mama lazma akifka hm acheck mpangilio umekwenda aandae mazingira ya kesho yake na obvious atakuwa wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka wakati huo kaz zao ni sawa tena ukute subordinates wa mama ni weng kuliko wa baba. na bado chakula cha usiku kwa baba lazima atoe. so nani anahitaji vyakula vya ziada?

nimekuelewa charminglady, mi sikuwa nimeangalia katika mtazamo huo zaidi, ila kwani chakula cha usiku c wanakula wote? nilimaanisha ni jinsi mwili wa mwanaume na mwanamke umeumbwa tofauti, mwanamke anahifadhi chakula cha akiba kwenye makalio, hips, matiti na sehemu nyingine kama chakula kikiwa cha shida ndo maana wanawake huvuta siku kuliko wanaume, sie hatuna reserve ya chakula...pia tunachokula kinaingia na kutoka kinahifadhiwa kidogo tu kuliko wanawake
 
Last edited by a moderator:
+1 to Mwanawalwa and MtotoSix posts. r u doctors, maana mmejibu kwa usahihi kabisa!! kuongezea, Y sperms are faster to compensate for reduced 'lifetime'

charminglady wanaume tumeumbwa kwa suluba na mahangaiko (biblically) kwa hiyo tunachoka mapema ndio maana expectancy ya men<women kwenye nchi nyingi.

mimi ni certified pharmacist professionally lakini sijui kuhusu charmingLady............. wanawake ni dhaifu tangu kuumbwa kwao ndo maana shetani alijua hilo akamshawishi hawa amege tunda, na akakubali, mbona asingemjaribu adam ambae alikuwepo hata kabla hawa hajaletwa?
 
I think so, na mara nyingi mtu dhaifu hutumia nguvu nyingi kuprove otherwise; na hii kitu tunaiona sana kwa physical abusive husbands!

Aaaha, Kaunga bana hapo kwa red umeamua tu kutugongelea, loh!
 
Aaaha, Kaunga bana hapo kwa red umeamua tu kutugongelea, loh!

lakini si ndio ukweli wenyewe, muongo hutumia nguvu ya ziada kuprove 'ukweli wake' au?
na kuna mtu alisema wachovu kitandani ndio wanaokuwa na videmu vingi nje, just to prove he is ......!
 
Back
Top Bottom