Hii ni kweli scientifically proved....ila kinachokuja kunishangaza kwanini katika hali halisi ya maisha ya binadamu mwanamke ndo dhaifu kuliko mwanaume? Sijui wataalam wanaweza kuja na theory gani kwa hili?habarini wanaMMU. leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa COS wakat mwanaume anafika kwny peak hutoa mbegu aina 2 yan X & Y yan X ni female na Y ni male.mbegu Y obvious ni dhaifu na huweza kufa haraka kuliko X. ndo maana wanawake ni weng kuliko wanaume. pili,ukiwaweka m-mme na m-mke bila chakula kwa cku kadhaa m-mme atakufa haraka kabla ya m-mke.JE KUNA UKWELI KTK HIL
mkuu mimi nimeuliza swali, nahitaji kuelimishwa. c kwamba nafichua ukweli bali ni katika kutaka kueleweshwa kuhusu mada tajwa! samahani kama ntakuwa ninakukwaza. . .
mnajifariji eeeeh.... vidume vitaendelea ku-survive na kuendelea kuwepo na kuwamimbisha bila kujali kama kuna hizo X and Y chromosomes
habarini wanaMMU.
leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa COS
wakat mwanaume anafika kwny peak hutoa mbegu aina 2 yan X & Y yan X ni female na Y ni male.mbegu Y obvious ni dhaifu na huweza kufa haraka kuliko X. ndo maana wanawake ni weng kuliko wanaume. pili,ukiwaweka m-mme na m-mke bila chakula kwa cku kadhaa m-mme atakufa haraka kabla ya m-mke.JE KUNA UKWELI KTK HIL
mkuu kwenye ukweli tuwe wazi hakuna haja ya kubisha ebu rudia kusoma uzii wake vizuri.mnajifariji eeeeh.... vidume vitaendelea ku-survive na kuendelea kuwepo na kuwamimbisha bila kujali kama kuna hizo X and Y chromosomes
asante Mtambuzi, je unakubali kuwa mwanaume ni dhaifu, kama unakubali ni kigezo gani wanachotumia kusema mwanamke ni dhaifu?
mnajifariji eeeeh.... vidume vitaendelea ku-survive na kuendelea kuwepo na kuwamimbisha bila kujali kama kuna hizo X and Y chromosomes
Nukuhunga mkono wanawake wako sana ngangali ki-physiolojia tatazo lao kubwa ni "KUDANGANYIKA KIRAHISI" hata awe ame elimika kiasi gani, akitokea njemba ambaye ni mahili kujieleza basi sijuhi akili zenu kwa nini huwa zinahama kwa muda mnajikuta mnafanya mambo ya KUSHANGAZA with a noboby!
Siwasemi kwa nia mbaya, lakini mimi hicho huwa kina nishangaza sana! Kibaolojia wanawake utumia hemiphere zote za ubongo wao i.e left and right simultaneously tofautati kabisa na wanaume wanao tumia predominantly upande mmoja! Mtu ungetegemea wanawake wangekuwa na analytical mind mara dufu ya wanaume, lakini for some reason mambo yako tofauti KABISA - may I know WHY, her majesty CharmingLADY?
MtotoSix unaposema kwamba m-mme anahitaji vyakula vya wanga zaidi kutokana na nature yake,let say mama ni manager wa bank A na baba ni manager wa B.wakitoka job mama lazma akifka hm acheck mpangilio umekwenda aandae mazingira ya kesho yake na obvious atakuwa wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka wakati huo kaz zao ni sawa tena ukute subordinates wa mama ni weng kuliko wa baba. na bado chakula cha usiku kwa baba lazima atoe. so nani anahitaji vyakula vya ziada?
+1 to Mwanawalwa and MtotoSix posts. r u doctors, maana mmejibu kwa usahihi kabisa!! kuongezea, Y sperms are faster to compensate for reduced 'lifetime'
charminglady wanaume tumeumbwa kwa suluba na mahangaiko (biblically) kwa hiyo tunachoka mapema ndio maana expectancy ya men<women kwenye nchi nyingi.
I think so, na mara nyingi mtu dhaifu hutumia nguvu nyingi kuprove otherwise; na hii kitu tunaiona sana kwa physical abusive husbands!
Aaaha, Kaunga bana hapo kwa red umeamua tu kutugongelea, loh!