lakini si ndio ukweli wenyewe, muongo hutumia nguvu ya ziada kuprove 'ukweli wake' au?
na kuna mtu alisema wachovu kitandani ndio wanaokuwa na videmu vingi nje, just to prove he is ......!
Hii ni kweli scientifically proved....ila kinachokuja kunishangaza kwanini katika hali halisi ya maisha ya binadamu mwanamke ndo dhaifu kuliko mwanaume? Sijui wataalam wanaweza kuja na theory gani kwa hili?