Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda kareportKuna mambo huwa siyapati vizuri, hivi mfano kuna mtu kanishawishi nimpe mzigo halafu nikawahi pccb kuripoti, kama ni kesi nani atakuwa mlalamikaji?
Sheria inasemaje kuhusu hilo?
wewe nenda karipoti pccb wao watatathmin taarifa zako kwanza halafu watakushirikisha kuandaa Mtego wa kumnasa mtuhumiwa, Baadhi ya mitego yao ni kwamba watakupa hela zao zenye serial number maalum, halafu hizo hela wewe utazitumia kumpatia huyo mtuhumiwa Kama rushwa.
Hizo hela ulizompatia mtuhumiwa ndio zitakuwa Miongon mwa ushahidi mahakaman!
mlalamikaj/mshtaki atakuwa ni jamhur, ila wewe utakuwa ni sehemu pia ya ushahidi!
Sure Uchunguzi waachie wao, wao ndo wataalamu wa hayo mambo na mazingira ya rushwa hayafanani, Mbinu maalumu watakayotumia kupata ushahidi wanayo wenyewe waliosomea. Kwa ufupi mi shuhuda wa kazi zao. Trust me wako vizuri sana.Mkuu!
Wewe kareport!
Jamhur ndio watakao simamia investigation, seizure, arrest na prosecution.
Au kunakitu unahofia mkuu?
Mlalamikaji kwenye kesi za jinai, ni Jamhuri. Hapo pa kukamata, kuchunguza na kushtaki pana utata kidogo, jamhuri ni moja lakini yenye taasisi nyingi kwa hiyo inategemeana naaina ya kesi. Wakati wa ukamataji na uchunguzi haiitwi JamhuriKwenye charge uwa panaandikwa particulars za mshitakiwa na particulars za mlalamikaji, sasa hapa nani ataandikwa, pia hizo pesa za kumkamatia si itabidi kuziandikia certificate of seizure? je, jamuhuri hiyo hiyo ilalamike, ichunguze na ishitaki?
Hiyo ni jinai kama jinai zingine mshtaki au mlalamikaji ni Jamuhuri na zinasimamiwa na DPP.Kuna mambo huwa siyapati vizuri, hivi mfano kuna mtu kanishawishi nimpe mzigo halafu nikawahi pccb kuripoti, kama ni kesi nani atakuwa mlalamikaji?