SWALI : Je umeshawahi kulala na mpenzi ukatamani pakuche haraka uondoke/aondoke?

Rubbish,Pumbavu, halafu unakuta ni mwanamke mkubwa kabisa tena unaweza unaona ana watoto
 
mtani wangu mshanajr ana kazi kweli kweli..
Kazi gani tena jaman mm mkewe nimetulia hayo ni maisha kabla sijawekwa mtu kati na mtani wako akafunga milango yote ya balaa
 
Kuna mmoja huyo sikumfeel kabisa so I had to fake an emergency .. Nikapigiwa fake call nyumba yangu inawaka moto nikaamsha chap kama upepo ..ndukiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…