Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

naona huu uzi umejaa ma HB na WAREMBO, kila anayekoment aliishia kumblock mhusika,,, wekeni picha tuwaoneee,, mana sio kwa kujisifia uko, [emoji23] [emoji16]
Kwani nani huwa anajiona mbaya ,,hata huyo alieblockiwa nae kuna mtu kamblock pia
Na kumkimbia mtu sio kwamba wewe eti ni mrembo au hb hapana kabisaa
Kuna siku wanaume walileta uzi wa hivi weeeeee utafikiri waliokoment mle ni kina wiliam levy au yule kaka Majid
Ni asili ya binadam
 
Weee marafiki wa kwenye radio magazet mitandao yataka moyooooo ujiandae kisaikolojoa
 
so mmelipa hahaha[emoji23] [emoji16] [emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unatafuta ugomvi na mabongeeeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kumbe na we mbaya eeh
 
Kubali upo cheap
Hata kama ni jukwaa Gani
Lakini ki uhalisia upo hivyo
Mwanamke aliyefundwa kwao akafundika
Hawez kuwa cheap hivyo.yaani mtu humjuh hata kuonana naye ujawahi anakutongoza Na unamkubalia
Duh inamaana angekuwa kakizi mngedate
Acha kucomplicate maisha, tafsiri yako inaweza isiwe tafsiri ya dunia. Feelings hazina macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…