Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Jamaniiii usiwe unaogopa unene [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa story
 
Umesema nywele zake kipilipili nimekua offended [emoji23][emoji23]
 
Oooh umeona hapo kwamba amenitongoza naomba uvae miwani ukasome tena uzi wangu alafu ulete ushaur wako hapaaaa mxeeew usinitibueee
Weee upo cheap bhnaaa
Tena siyo wewe tu wanawake wengi mmpo cheap
Wanaume tunawadanganya kwa vitu vidogo na mnaingia line!

Halafu kuwa mwanamke mwenye busara unaweza bishana Na me kwa kawaida siyo mpaka tudharirishane kwa kuitana majina ya ajabu na matusi kama hiyo mxeew
SIJAPENDA
 
Kwahiyo nikikupenda nikakukubali niko cheap mteja wangu?
 
Duh
 
Info kama hizo haziwwkwagi wewe..yan hiyo wanabakigi nazo tu kwenye mioyo yao
Ndo hapo sasa unamkuta binti yuko so decent hadi unaona haya kutangaza sera na ilani ya moyo wako siku ya mtoko wa kwanza..kinywaji ataagiza mirinda nyeusi ila siku atakapoenda kibla maweeee...pango la Amboni,mileage zinasoma Zimbabwe jiulize sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…