Mimi nipo dom mkuu karibu tuvheze game of throne [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hahaha pole sana na Hongera kwa kuEscape from Sorbibo. Lini unaenda Dom mkuu tukategeane sasa wew na mim pale Square
Yan dada unakaaa sehem unakuwa unamchora tu kukutana na mtu usiyemjua ni mtihan tena ule wa Math[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umenichekesha nikakumbuka jinsi nilivyokuwa namuuza mtu halafu unamchungulia anavyohangaika uwiii
Thats Good. Tar7 mwez wa5 ntakuwa hapo kutoka Moro. Be PreparedMimi nipo dom mkuu karibu tuvheze game of throne [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kukimbiana day
TwendeeNenda kachukue dada zake A
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ni mtihani usiokuwa na msahishaji, mie kuna dada alinambia kuna kaka yake anatafuta mchumba, nikamjibu kwahiyo umeiona mimi nafaa kuwa na kaka yako? Kaitika ndiyo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kapanga siku ya kuja naye na muda mwenyewe nipo kazini kwa machale nipo ofisi ya pili ile nawaona kwa mbali mie kona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nawasikia si tumemuona hapa au katukimbia awiii mchumba yupo na suit ya maziwa na miwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawakurudi tenaYan dada unakaaa sehem unakuwa unamchora tu kukutana na mtu usiyemjua ni mtihan tena ule wa Math
Wewe unakataa tuonane, sasa ushuhuda nitautoa wapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]rafk mbona wewe hujaleta ushuhudaaaa
Kule nako hata ukiwa na mtu wako akiwa mbele kidogo huku mitongozo kama kawaidaKabisaa yan jumapili watu woteee lazima uwakute sabasaba
Tena la kijeshi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa darubin au
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukakutana na mtu ndivyo sivyooo akiii hata mm nisingekubali kama ndo hivyo ukawaachia manyoaaa tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ni mtihani usiokuwa na msahishaji, mie kuna dada alinambia kuna kaka yake anatafuta mchumba, nikamjibu kwahiyo umeiona mimi nafaa kuwa na kaka yako? Kaitika ndiyo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kapanga siku ya kuja naye na muda mwenyewe nipo kazini kwa machale nipo ofisi ya pili ile nawaona kwa mbali mie kona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nawasikia si tumemuona hapa au katukimbia awiii mchumba yupo na suit ya maziwa na miwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawakurudi tena
Hee? Kwan naww ni Mbonge kama nlomkimbiaga? Ila ata ukiwa bonge sahivi nmekuwa mkubwa sana tu nmerefuka af nna mwili kias chake.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]naaanza mazoez ya kukimbia mjin mpaka UDOM
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndo maisha yenyewe haya tunapita vituko ni baadhi ya mojawapo ya maisha ili yasonge mbeleeeKule nako hata ukiwa na mtu wako akiwa mbele kidogo huku mitongozo kama kawaida