Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Shikamoo dadaHana shida ukimuona mpaka umvuruge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo dadaHana shida ukimuona mpaka umvuruge.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sawaaaa nimejipanga niandalie konyagi ndogo tonic na malimao nitoe aibu
Nina aibu mwenziooo
MuhengaMimi vingi mno, nachuja kipi nikielezee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ni mtihani usiokuwa na msahishaji, mie kuna dada alinambia kuna kaka yake anatafuta mchumba, nikamjibu kwahiyo umeiona mimi nafaa kuwa na kaka yako? Kaitika ndiyo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kapanga siku ya kuja naye na muda mwenyewe nipo kazini kwa machale nipo ofisi ya pili ile nawaona kwa mbali mie kona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nawasikia si tumemuona hapa au katukimbia awiii mchumba yupo na suit ya maziwa na miwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawakurudi tena
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee leo nimekumbuka mpenzi wangi x alinitongoza na line mpya siku naenda kukutana nayee nikachezeaa kipondooo sitasahaunkwa kweli haya maisha nimepitia vitukoooo vingi sanaNakwambia ndiyo maisha, hata mchikichini ndiyo zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasikia haaa wakubwa wanafaidi
Kukimbia muhimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa nikiwaza sahizi nacheka balaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ulweso akakimbia akaacha vumbi sipat picha huo mwendooo aliotoka naoooo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]
hahahahahaaaaAiseee nakisubir hapaa niangue kichekooo rafik
Hahahahaaa. Nitake radhi NN. Sijaruka darasa mimi mpaka namaliza degree yangu. Tena form six ya kiume nimesoma (PCM).
Wanaume warefu wana mikuyenge inachoma mpaka kizazi mm sitakiNinachokiona haraka kutoka kwako yaelekea u mvivu sana ndo maana hupendi wanaume wembamba halafu warefu coz huwa watata kwenye ulingo mpaka wanasimamia km bike hivyo unajipendea zako mabwanyenye kimoja tu jasho linamtoka km katokwa kukimbizwa na Israel.
Ndo wapi[emoji15] mi napajua WIMPY tu.Nitkupeleka Pizzeria tukale Pizza
Yaani usipime mwenzangu ile nawaondoka mie kufunga ofisi mbio, sister wangu alicheka balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzangu haaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara 4. La saba form 2 form 4 na form 6 [emoji16][emoji16][emoji16]Basi walau utakuwa ushawahi kupasi mtihani wa taifa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndugu yanguMuhenga