Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Ndio naingia hapa kwanza nimeshindwa soma post zote nyingi sana sijawahi mkimbia mtu kabisa na wala sijawahi kimbiwa pamoja na sura ya baba angu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sura ya baba si shida, bali baba kafanan na nani wababa wengine ma HB utampenda, halafu mwanaye Shunie ndiye kafanana naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajikuta mzuri wakati mwanamke mwenyew kinuka mkojo unayevaa chupi za mtumba unanuka na jasho
 
Kukimbia muhimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa nikiwaza sahizi nacheka balaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewee mm ndo balaaa tena kitu kinachofanya nicheke zaidi tuwe wawil alafu tuende kukutana na kituko looh

Nitachekaa hata mwezi mzimaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sura ya baba si shida, bali baba kafanan na nani wababa wengine ma HB utampenda, halafu mwanaye Shunie ndiye kafanana naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana baba angu sio hb kafanana na babu yangu mzaa baba yaan nina sura inatisha lakini sijawahi kimbiwa jamani
 
Nipo dar mkuu kwenye jiji la mvua
Asee, napaogopa huko asee kuna siku nilikuwa natoka Moro kuja apo tulipofika Mbezi tukakuta Maji yamefunika rodi af mvua iko On Firee weee ilibidi nizunguke kupitia sjui ndo goba wanapaitaa. Sisahau ile siku mpka leo sijaenda tena.
 
Pole sana mkuu ndio jiji letu hilo
 
Yaani usipime mwenzangu ile nawaondoka mie kufunga ofisi mbio, sister wangu alicheka balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzangu haaaa
Poleeee sana khaaaaa mchumba kavaaa suti kama magunia ya vitunguuu vya singidaaa
 
Back
Top Bottom