Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukakutana na mtu ndivyo sivyooo akiii hata mm nisingekubali kama ndo hivyo ukawaachia manyoaaa tu
Weweeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wakutafutiwa anakuja sivyo ndivyo akaaa wakutafuta mwenyewe raha sana, mna hangaishana mwishowe [emoji106] sio kupokea mbuzi kwenye gunia aka babu weeee
 
Weweeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wakutafutiwa anakuja sivyo ndivyo akaaa akutafuta mwenyewe raha mna hangaishana mwishowe [emoji106] sio kupokea mbuzi kwenye gunia aka babu weeee
Aiseee bora wa kutafutana unamuona live wa hivyo ni kama kucheza kamari huna uhakika kama utashindaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndo maisha yenyewe haya tunapita vituko ni baadhi ya mojawapo ya maisha ili yasonge mbeleee
Nakwambia ndiyo maisha, hata mchikichini ndiyo zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasikia haaa wakubwa wanafaidi
 
Ninachokiona haraka kutoka kwako yaelekea u mvivu sana ndo maana hupendi wanaume wembamba halafu warefu coz huwa watata kwenye ulingo mpaka wanasimamia km bike hivyo unajipendea zako mabwanyenye kimoja tu jasho linamtoka km katokwa kukimbizwa na Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…