Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Hiyo ilikuwa mchana/jioni, nilikuja kuona msg yake usiku baada ya kuwasha simu, nikamdanganya kuwa nilikwapuliwa simu na nikamwambia ndio nimejitahidi kurenew siku ile. Nikazuga kumuuliza kwani hukuona nakimbiza mwizi. [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hiyo ilikuwa mchana/jioni, nilikuja kuona msg yake usiku baada ya kuwasha simu, nikamdanganya kuwa nilikwapuliwa simu na nikamwambia ndio nimejitahidi kurenew siku ile. Nikazuga kumuuliza kwani hukuona nakimbiza mwizi. [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahaaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mjini shule si kushangaa maghorofa unaweza jikuta unakutana na mbabu na mkongojo ukashindwa hata kuzimia ukabaki umesimama wima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo yakukutana na mtu usiye mjua duu mie naigopa sana sipati picha ulivyokata kona nyuma geuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka hatari
 
Kuna tayari mtu analala na mamba humu?
Tehteehhh.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kuchamba kwingi huku, kutatufanyanga tushike na amoeba.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mimi sijawahi kumkimbia mtu. Ila huwa nabadili direction kama nikiona matarajio yangu si sahihi. Tutaishia kuwa marafiki tu
 
Imenitokea juzi tu nilikutana na Dada moja usiku ni kamwona kama yuko poa kiaina nikachukua namba yake nikiamini itanifaa siku nikiwa na ukame
Juzi nikamwita bana kesho tuonane hotel ...... Eeeeee bana ee si akaja ile kumwangalia vizuri uwiiiiiiii
Ikabidi nizuge tu kama hamna neno nikanywa na juice tukagonga na msosi nikazuga nina kipolo ofisini sijakimaliza ikabidi tutawanyike
Heeeeee tokea hapo nina wiki ya pili sijamtafuta
Juzi kanitumia kameseji "nini kimeharibika best" nikamjibu aise nipo safarini nikirudi ntakujulisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sitakagi ujinga [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
niwekee pasi murua ninyooshe msuli [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji16] [emoji23] kwani ni under 18,, naskia uteleeeeeez[emoji16]
Ndio ni under18 mzee baba.
Ukitaka hata namba nakupa na username Facebook nakupatia bure kabisa.[emoji3][emoji3][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…