usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Labda mods walikua wanataka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimeingia jioni nikaukuta [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Watuone hapa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mods walikua wanataka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimeingia jioni nikaukuta [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndiyo hivyo hakuna namna lazima kufanya kazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Majukumu ya kitaifaaa nayo yanatubanaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yeaaaaah kukimbiana hakujawahi muacha mtu salamaaa
Mara ya kwanza nilisikia nikiwa sec.nilichekaje hilo jina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Loooo mwanamke ukipewa hilo jina mm najinyongaaaa au nakata bumundaaa languuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwendook kama bomu la Iroshimaaa bahhahahaha
Hahaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mbio hizoLabda mods walikua wanataka
Watuone hapa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Marathon inasubir[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mbio hizo
Hahaaa haaa utoto unakuwa unasumbua ukikua tu unatoa jibu hapo hapoYeaaaaah kukimbiana hakujawahi muacha mtu salamaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nakumbuka kuna kaka 1 primary alikuwa nalo kubwa hilo yaani kwa kipindi kile ningeshona gauni lakuvuta rinda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kucheka sasa unachekea pembeni maana yule muraa angeweza kutoa mtu kinyesi black mpaka macho.Balaaaaa tunalala tunaotaaa makapturaaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unakutana na kimtu kifup kama kibwengooo kwenye sm alikwambia mrefu unasemaaa Ewaaaah mm napendaga watu warefu sku mkikutana lazimaaa ukimbieeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lazma unayayo umuumbue mtu
Yaani nilicheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanaokaaa karibu na migodiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]wana misemoo hatar
Eeeeh tusererekeee kitonga[emoji3][emoji3][emoji3]Tumerudi tuendeleee kusererekaaaa