Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Hahaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mbio hizo
Sipat picha ningekuwaa naendesha kispashooo ningekimbia mpaka kipate motooo ukifika home unasimama unakimwagia maji kinafukaaa moshiiii
 
Hahaaa haaa utoto unakuwa unasumbua ukikua tu unatoa jibu hapo hapo
Unaaanza kuomba upate hata chiziii anatoshaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji4]
Chagua chagua ya mtumban inaishaaaa inaexpire date
 
Sipat picha ningekuwaa naendesha kispashooo ningekimbia mpaka kipate motooo ukifika home unasimama unakimwagia maji kinafukaaa moshiiii
Kama treni za kutumia kuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaaanza kuomba upate hata chiziii anatoshaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji4]
Chagua chagua ya mtumban inaishaaaa inaexpire date
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umri ukifika mambo yanajiseti, mbona kina Mr hatukuwakimbia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Umenikumbusha mwalm wangu wa sekondary huko Dar aiseeee alikuwa anavaaa suruali kubwaa nikawaaa nawaambia darasan hii suruali ya Teacher wa Bios kipind hicho tunasoma topic ya Genetics aisee akiingia mm kicheko nasema naweza kutoaa sket zangu 4 maana nilikuwa navaa rinda boksi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ukiwa teacher ni kukubali yote
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unakutana na kimtu kifup kama kibwengooo kwenye sm alikwambia mrefu unasemaaa Ewaaaah mm napendaga watu warefu sku mkikutana lazimaaa ukimbieeeee
Kuna mmoja alinambia at yy n mweupe
Heee Sasa acha nijisogeze.
zang kinondon mkwajun haa haa
Nlibak tu nmeduwaa nlichokiona
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inawezekana wakawa humu humu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sana tu mbona? Na wanajiona mabwege sna hapo walipo. Online dating na wadada ambao hamjaonana face to face ni stupid sana sometimes.
 
Yani kidogo nianguke kwa hiyo michambo wewe demiss kiboko hahahahahaha
 
Ungevumilia tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nlivumilia nkashindwa nkadandia
Zang bodaboda nkaenda zang leaders club
Maana hyo sku ilikua n ya fiesta

Nkamwambia nachelewa fiesta
Tuonane kesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…