Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Ndiyo abiria wote manuka moshi wa kuni
Ila hizo treni tunazo mm na mme wangu Mshana huwa tunapakiaa misukule kwenda gamboshiiii[emoji578] [emoji578] [emoji578] [emoji578] [emoji578] [emoji578]
 
Hahahaha Demiss umenikumbusha mbali sana,

Mdada mkaliiiii kanicheki site moja hivi niliangalia profile yake yupo njema, baada ya chatting za muda mrefu, siku hiyo akaja kunitafuta tena kwa surprise maana sina hili wala lile ananiambia nipo Victoria kituoni, nikasema poa ngoja nikamfate, uzuri niliamua kwenda mwenyewe ningemuelekeza home sijui ingekuaje walai, daah sikuamini nilichokiona Mungu anisamehe tu, mbaya zaidi wale dreva tax wananitania like nimeopoa sijui nini damn!!

Nikajua why alipendelea kupiga picha nusu huku ma filter kibaoooooo.

Nilimpandisha gari bila kutarajia nikamwambia nina kikao cha familia natakiwa kuhudhuria.

am sorry H.
Aiseeee ikabidi ukamshushe mbele au ulimuacha wapi?
 
Mambow n moto kwakweli
Mwandiko na I'd haviskilizan
Ww ndo unajua jinsia yako tu mwenyewe
Hata mm nimeshangaaa kidogo nikajua ke aiseeeeh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] vuuuup mwendo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Unafkir nakaa stor kama
Bilinas [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mpaka nifikeee kwanza nijihakikishieeeee

Najiandaaa na kukimbiaaa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
 
Mpaka nifikeee kwanza nijihakikishieeeee

Najiandaaa na kukimbiaaa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
Ngoja nkufungulie mlango
Kabsa ukijua weee ingia tu
 
Mambow n moto kwakweli
Mwandiko na I'd haviskilizan
Ww ndo unajua jinsia yako tu mwenyewe
Kha! We ni me au ke?
Hata mm nimeshangaaa kidogo nikajua ke aiseeeeh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ke [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]au me?
Unfortunately, ni KE.[emoji20] [emoji19] [emoji20] [emoji19]
 
Hata mm nimeshangaaa kidogo nikajua ke aiseeeeh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Yan hata haelewek aiseee

Hii kweli n Jf
 
Back
Top Bottom