Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Wasalaaam!

Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume.

Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na vituko .

1.Huyu alikuwa mwanaume aliyekosea namba tukawa tunawasiliana zaid ya mwaka mmoja bila kuonana maana yeye alisema hana account facebook wala hayupo whatsap.
Basi alishiaa kuniambia tu sifa zake jinsi alivyo kwenye simu kuwa mweusi mrefu wastani na nguo anazopendelea kuvaaa akimaniisha hapo tayar nitahisi anafanana vipi .Aiseeh nilimwambia unafanana na Joh Makini akasema ndiyo .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Na mm bila kukaaa nyuma nikamweleza sifa zangu yani muonekano wangu jinsi nilivyo kama Black chocolate ,mrefu alafu mwili wa wastani nina chura chokozi na ninapenda kusukaaa macho ya mviringo kama gololi.
Hapo mwanaume akavuta picha nafanana kama Alicia keys.

Balaa sasa siku ya kuonana nakumbuka nilikuwa nimeenda Jitegee sekondary kuchukua uhamisho wa Mdogo wangu basi kwa sababu yule mkaka alisema anafanya kazi Mitaa ya Uhasibu nikasema leo ndo siku ya kuonana maana kipindi tunawasiliana mm nilikuwa mkoan Morogoro hivyo nilikuja Dar kwa masuala ya uhamisho wa mdogo wangu.

Basi baada ya kumaliza issue zangu nikaenda kukaaa pale kituo cha uhasibu kwa ajili ya kusubiri gari za Mbagala huku nawasiliana na yule mkaka aje tuonane .

Uwiiiii nilikuwa nimekaa kwa machale najua mnaelewa mchezo wa kuviziana na mtu usiyemjuaaa inavyokuwaaa ni balaaaaa akipig simu unachelewaa kupokeaaa unaangalia nan anayekupigia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Uwiii ghafla vuuup namuona mkaka anakuja amevaa likaptulaaa kubwaaa halimtoshi alafu kachomekea na Tshirt jaman chini kavaaa mabuti ni anatishaa jaman uwiiiii(Mnisamehe Demiss napenda mahanshaamy mnanijua lakini)

Mkaka alikuwa anatisha uuuuuuh nisingeweza kumvumilia kwa kweli nilitoka nduki nikaingia kwenye DCM zile zilizokuwa zinaenda Mbagala Rangi 3 na Mbagala kuuu.

Kituko sasa badala ya kupanda Gari za Kwenda Mbagala Rangi 3 nikajikuta nimefika Mbagala kuu hapo simu nimeizima kabisaa
Nilivyofungua sm nilikutana tu na sms za kwann nimemkimbia mm wala sikujibu nikapotezea.

2.Sharobaro mwembamba
Katika maisha hakuna kitu sikipendi kama wanaume wembamba alafu warefuu .
Huyu mkaka sharo nakumbuka sjui alikosea namba na yeye alikuwa anakaa Kimara suka huko tukawa tunawasiliana .

Baadae akawa amenitumia nauli nitoke Moro niende Dar nikasema niende kuonana na mtu simjui wala siwezi nikikutana anafanana kama kibwengo nitafanyaje sitak aiseeee ikabidi ile nauli iishie kwenye mitumba ya Sabasaba sokoni watu wa Moro mnaelewaa shughuli ya Sabasaba.

Basi yule mkaka akaona isiwe tabu ngoja aje mwenyewe mpaka Morogoro aje tuonane.
Siku hiyo nikaenda kukaaa pale Vijana social hall ipo maeneo ya sabasaba ila nilikaa pembeni yake nikawa nampa Direction huyo mkaka aje mpaka Geti la vijana social.

Jaman alivyofika ni mwembamba mrefuu alafu kavulana kadogo kiukweli mm nisingeweza nilivyojiridhisha ni yeye nikazima simu alafu nikapita pale pale alipokuwa amesimama nikaenda zangu kuchukua bodaboda nikasepa zangu Home.(Uwiiii kaka unisamehe nisingeweza)


Ila jaman haya yalikuwa maisha ya kupita tu na ilikuwa ni lazima itokeee hivyo msinilaumu sana.

Bila kusahau kuna member moja wa hapa Jamiiforum nilishawahi kumkimbiaaa jamn sikutegemea kama ningemkuta hivyo nilitoka ndukiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nusu nivunje milonjoo kwa sababu alinitumia picha siyo zake siku namuona weeeee nilikimbiaaa Mwendo kama Chopa za Urusi.



Mrs Jr chamdeko.


Part 2

3.Mkaka wa Huduma kwa wateja wa mtandao wa simu jina kapuni(Atl)

Nakumbuka ilikuwa ni midaa ya saa 3 usiku baada ya laini yangu ya simu kuzinguaaa nikaamua kutumia simu ya Rafiki yangu kupiga huduma kwa wateja.

Kiukweli sijisifiii Demiss nina saut nzur sana hata shemeji yenu anajua vile nikidekaaa.

Basi nikawa nimeongea shidaa yanguu kwa muhudumu yule wa kiume akanisaidia laini ikafunguliwa.

Ile mida ya saa sita usiku nikaona simu yangu inaitaaa nikapokea .

Yule mkaka akajitambulisha na kusema jinsi saut yangu ilivyomshawishi mpaka akaamua kuchukua namba yangu.

Baada ya hapo tukahamia whatsap kiukweli mkaka ni Smart handsome kama Ben paul.

Siku ya kukimbiana ikawadia!!!!!

Huyo mkaka alikuwa anakaa Ubungo sikumbuk vizur ni ubungo ipi lakin ina vichochoro siyo vya nchii hii yan nyumba zake zina ngazii mpka ufikie mlango walllah kama una pressure unaweza zimiaaa kabla hujafikia mlango wa geto.

Mtoto wa kike nikachukua Daladala kutoka Tegeta kwa ndevu mpaka Ubungo enzi hizo kuna kituo cha daladala pale kama Tanesco kabla ya kubomolewaaa.

Kiukweli mkaka alikuja kunipokea kimbembe kikaanza sasa tukapanda pikpik mpaka sehemu tukashuka tukaanza kuchanja milonjo kupandisha ngazi uwiiiiiiiih nilikomaaa .

Mwishoe tukafikia geto lakee akafungua mlangoo tukaingia chumba chake ni "Shaghalabagalaaa "
Kitanda katikati kimebonyeaaa na ndani kuna kitanda tu na manguo manguoo ameyaweka kwenye Boksi kubwaa sijui ni la kuwekea Laini za.simu kazini kwaooo.

Baada ya kubadilishana mawazo handsome akaanza kuleta mapozi ya kugegedana si unajua tena wanaumee hawacheleweshi.

Kiukweli hali ya hewa ya ile chumba ilinifanyaa nipoteze kabisa Hamu hata ya kugegedana nikafikiria mkaka Handsome smart anakaaa kwenye chumba cha shaghalabagalaaaa mweeeeeeh siwezi kwa kweli[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Baada ya kubebishana anakaribia kunigegeda nikamdanganya nimebanwaa mkojoo .

Nashukuru choo kilikuwa mtaa wa pili jaman akaniambia nendaa hapo ameshavua nguo amebaki na boksa tu mkuyengee ulikuwa tayar kwa Show kabambeeee!!!!!

Basi hapo ndo nilipopata nafasi ya kuanzaa mbio za Marathon mwenzenuuu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nikashika simu yangu nikatokaaaa nayo nikarudisha mlangooo nikaanza kunyataaa polepoee kushuka zile ngaziii jamn ngazi ni nyingii utazan gorofaa kumbe wanakwepa mafurikooo.

Nilivyofika kwenye kauchochorooo nilitoka ndukiiii mpaka nikaenda kuparamia mlango wa watu kumbe nimesahau njiaaaa

Ikabid waniulize wewe dada vipi?

Huku natetemeka nikawambiaaa nilitaka kukabwaa ikabid wanielekeze njia nikachukua boda mpaka mwenge nikaenda kudandia gari za Tegeta na simu nikazima.

Kesho yake naamka kuangalia sm nakutana laini inasoma.

"NO SERVICE"
Nikasemaaa hahahha handsome kafanya kazi [emoji16][emoji16][emoji16]

Huko nyumaaa sipati picha nilivyotukanwaaa Demiss miyeeeee.


Itaendeleaa keshoo.........vituko ni vingi.
 
Demiss unanisema vibaya hivyo,.

Najutia kukutana na wewe...

My wangu nisamehe kwa kuchambwa kiasi hichi na chamdeko
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Demiss umenichekesha hadi nmelia, eti kavaa likaptura likubwa kachomekea na litisheti, huishagi vituko jamani, mm huwa siwakimbii kabisaaa ntamuona nitasalimiana nae halaf namwambia bahati mbaya nmepata dharura sitaweza kukaa sana , nkitoka hapo nablock kila kitu ,sema labda wao ndo wananikimbiaga hahahahahah
 
Demiss unanisema vibaya hivyo,.

Najutia kukutana na wewe...

My wangu nisamehe kwa kuchambwa kiasi hichi na chamdeko
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wewe Mwifwa kwann unapenda kunochokozaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mm na wewe tumekutana lini hapa nawaza lini tutakutana nikukimbieee au wewe unikimbie uwiiiiii balaaaa
 
Demiss umenichekesha hadi nmelia, eti kavaa likaptura likubwa kachomekea na litisheti, huishagi vituko jamani, mm huwa siwakimbii kabisaaa ntamuona nitasalimiana nae halaf namwambia bahati mbaya nmepata dharura sitaweza kukaa sana , nkitoka hapo nablock kila kitu ,sema labda wao ndo wananikimbiaga hahahahahah
Hahahahha mm huwa nakimbia tu kwa kweli siwezi kuvumiliaaa nahis watu nitakaoongoza kuwakimbia ni member wa Jf nitawakimbia tu hakuna namnaaa
 
Wewe Mwifwa kwann unapenda kunochokozaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mm na wewe tumekutana lini hapa nawaza lini tutakutana nikukimbieee au wewe unikimbie uwiiiiii balaaaa
Niko nafanya mazoezi kila siku sasa nimekaribia kumfikia Usain Bolt kwa mbio, shauri yako nitakubwaga mapema tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Demiss umenichekesha hadi nmelia, eti kavaa likaptura likubwa kachomekea na litisheti, huishagi vituko jamani, mm huwa siwakimbii kabisaaa ntamuona nitasalimiana nae halaf namwambia bahati mbaya nmepata dharura sitaweza kukaa sana , nkitoka hapo nablock kila kitu ,sema labda wao ndo wananikimbiaga hahahahahah
Nimeona fursa hapa...[emoji39] [emoji39]
Ebu ngoja nijaribu bahati yangu kwenye PM yako, maana dahhh.....[emoji39] [emoji39]
 
Hafu mwenyewe utakuta unasura ka tako la dreva wa semi trela za kwenda kongo + Vigimbi kama banio la sufuria (Mpanti)
Mwanaume anakutumia picha za Baba akeee badala atume za kwake mkuu utaacha kumkimbiaa tena natoka ndukii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Hata wewe rafiki na hii id yako ina brand kubwa nikikuta unafanana sivyo ndivyo nakukimbiaaa tu
 
Back
Top Bottom