Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

doooohhh mi sijawahi kukimbiwa ila niliwahi kimkimbia dada mmoja hv......tumejuana kwnye mitandao bs tukapanga tuonane stend kuu mbeya......Bwana weeee........mtu mzima siku hyo nimeoga sanaaa yn jisugua visigino haswaa........nikafuta kiatu changu freeeesh kabisa.......

Yani ilikua lazma nifanye hvo mana mtoto anasema anaishi forest mpyaa bwana......

Nikajiandaa na kawallet kana kama 80 elfu hv kwa ajili ya kwenda kukaa nae maeneo flani mwanana kabisa.
Ebwana weeee......siku nikasema nikipanda daladala toka hapa kabwe mpka stend kule watanichafua.....

Mtoto wa kiume nikakodi kabajaji bwana peke yangu mpka stend.
Bs nilitangulia mm kufika huku yeye akidai ndo anapanda gar pale mkoani anashukia meta then pale anadaka gar ingine mpka stend....

Jamani yule dada anasauti nzuri mpka leo sijawahi kuona...yan ilikua tukiongea kwnye cm dk 5 tu mi tayar dushe imesimama chwaaaa....

Sasa sku hyo mara simu inaita.....""Hello my mi ndo naingia stendi hapa nimepanda gari imeandikwa nanii"""

Haaa yn kuskia hvo aisee nkasema kweli Mungu hamtupi mja wako aiseee.....Yn mtoto wa uswazi leo naenda kubeba bonge la totoooo tena la ushuani.......aaaahhh waniache....

Basi Macho yote kweny lango la stend kuangali gari inayoingia huku nikiwa na taadhari kwamba nihakikishe mim ndo niwe wa kwanza kumuona. Lakn sikuwaza kwamba akiwa m'baya nikimbie bali niliwaza yn akiwa mzuri sana kupita kias na kapendeza kias cha kwamba hatuendani basi nazama mitini mwenyewe na laini natupa.

Mara naona gari inaiingia....moyo unanidunda fasta hapo...mara imesimama...
watu wanaanza kushuka taratibu....kiukweli mpka wanaisha skuona hata mmoja wakuendana na ile sauti....nilikua nimejibana chobingo flani hv ikabidi nijisogeze kdgo karibu na gari ila kwa style flan yn kama vile na mm ni konda pale....

Mara cm yangu mfukoni inaita...bahat mbaya niliweka mlio...bs pale ikawa inaskika cm yangu tu...nikajaribu kuzuga mama mmoja akauliza"" jaman sio simu yangu inayoita"" konda akadakia "" hapana sio yako ni ya huyu broo hapa"" akionesha kidole kwangu.

Basi watu wote wakageuka kwangu macho waaaaaa......!!!
Nilivokauzu nikasema hapana haiiti ni meseji inaingia...
Sasa bhana kumbe yule dada amekaa pembeni ananichora kama ni mm au lah mana nilipoongea sauti yangu akawa ameistukia.....akapiga tena...hahahahahahaa weeeeeeee cm hyo ikaanza kuita.....sasa mimi ile kuangaza nikajikuta nimegongana macho na sura moja hiv hata nikisema ni yakiume ntakua nimewavunjia wanaume heshima.....
wanaume wazur bhana......

nisiongee sana ila yule dada nilimkaushia kabisa pale tena nikajifanya mkatisha tiketi pale kabisaa nilivopata upenyo dk 6 tu nikawa nipo gheto kwangu sebuleni nachek zangu muvi na laini nshaitupa njiani..
Sasa alikua na sura ya nani?
 
kuonana na mtu unamzania kichwani kwako ni ngumu aisee,,unakuta ndivo sivo
 
kuviziana na mtu nisiemjua[emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka
mm sikimbiagi wala ,ntakupotezea next days
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kuviziana ni balaaaaa
 
Ni mawazo yakooo tu utakavyoona wewe

Na akili yako fupi na uangalie hili jukwaa gan kwendraaaaa
Kubali upo cheap
Hata kama ni jukwaa Gani
Lakini ki uhalisia upo hivyo
Mwanamke aliyefundwa kwao akafundika
Hawez kuwa cheap hivyo.yaani mtu humjuh hata kuonana naye ujawahi anakutongoza Na unamkubalia
Duh inamaana angekuwa kakizi mngedate
 
Back
Top Bottom