Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Aisee nilishachezaga sna hio michezo , kuna sku moja nilikutana na manzi flani fb

Yaani mtoto ana jina zuri balaa na picha anazopost fb utasema huyu girl anaweza kupata u miss world

Aisee mtoto nikapanga kuonana nae sku nimebanwa

Mara paap mtoto kaelewa yy anakaaa ilala boma mm natokea kkoo

Bas nikamuelekeza lodge moja ipo maeneo ya ilala afike hapo si mda nitawasili

Aisee nilipofika ugwadu wote uliyeyuka mtoto ana sura ngumu yaan daah hata kufatana nae nilijiskia aibuu

Nikiangalia mwonekano wangu na alivy ni zaid ya kujidhalilisha

Nilimpa nauli ya bajaji fasta sjui hata nilimdanganya vip nilisepa nilienda kuvuta pumzi juu kwa juu

Daah ile siku sisahau anisamehe bure bure kama yumo humu jf
Aseeee ulichuma dhambi mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unamjua vizurii lakini [emoji23][emoji23]
Nitamjulia wapi miye namjua kwa maandishi tu nataman nikutane naye nitoke ndukiiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unaweza kujuta. Mi nilIshawahi kukomolewa na shoga angu Bar sitakaa nisahau.
Hakuna ambaye hajawahi kujuta mm sitak hata kukumbukaaa kwa kweli wanaume hawa ni shidaaa
 
Na sura ya baba usisahau ipo pia
Hapo mwenzio ameshavuta mahisia unafanana Rihhana siku akikuta Asha boko ndo ndukiii zinaanza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Foleni ya kuliwa na myuesie ni kubwa. Ukisema urudie na wengine tutakosa. Kwahiyo uliowala mara moja hawakuwa watamu eeh. Basi nanihii alikua mtamu eeeh. Yule yulee ulierudiaga
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kasoro Demiss tu alikosa bahat ya kuliwa na US baby
 
Ila mm nilishakimbiwa,
Mwaka 2010 nikiwa olevel kuna jamaa kahamia shuleni kwetu darasa moja akitokea huko Sengerema,basi usiku akianza kuchati na demu wake wa huko alikotoka nikamuomba na mm aniunganishie akanipa namba nikapiga sound binti akanielewa,basi tukawa tunachati kila siku,ikatokea trip ya jamaa yangu kwenda kwao huko Sengerema Nyehunge kwenye sherehe baba yake alikuwa anastaafu ualimu,tukaambatana naye kumpa kampani,basi demu nikampa taarifa kwamba nakuja huko akafurahi hatari,tulipofika huko demu hakupatikana hewani kabisa mpk tunatoka huko,siku ya pili tangu tutoke huko akapatikana basi nikamzingua hatari kwa kunizimia simu,basi akaniomba sana msamaha akidai alifika mpk kwenye sherehe na akaniona kabisa kwa siku 2 mfululizo,sema alichohofia kwamba hatuendani hata kidogo maana mm nilionekana wa mjini sana,harafu nilikuwa napiga pamba sana akijiangalia yeye anaona kabisa nisingevutiwa naye ndy maana aliona heli tusionane,nikamuelewa maana sema ukweli tulijipanga sana tulikuwa tunapiga pamba sana,si unajua tena kule kijijini kwa kifupi ndy hvyo nilivyokimbiwa sasa sijui aliyoyanena yalikuwa ya ukweli au laa,lkn nilimpuuza kuanzia hapo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]uwiiiiiii jaman akiii dunia haina usawa
 
pale karibu na islam bus zamani,

yaan wanazunguka kweli, wenyewe wadau wa mtumba wanajua ratiba zote, mana lile soko kubwa lishafungwa[emoji23]
wapo ktk ujenzi mpya wa kisasa [emoji23]
Ooooh aisee nikija moro tutafutane
 
Nimempata mwenzangu ambae tuliwai kukimbiwa, jaman kama kuna mtu alikimbiwa aje atupe nguvu sis wahanga wa kusema kwel
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akii sikutegemea kabisa haya mamboooo
 
Back
Top Bottom