Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Laki mojaaa tu inatosha tutakula Pizza elf 15 mm nakunyaga konyagi ya elf 4 tonic ya buku sjui sasa wewe unatumia Hennesy ama nn?
Mi kwakwel situmii alcohol yoyote ile ila misos ntakula kama yote tu except mdudu
 
Juzi kati tuu nimefunga safari mpaka Bagamoyo huyu binti nlikutana nae kwenye Daladala enzi hizo nasomaa.. Miaka imepitaa ndo nkaona so mbaya nkaonane naee.. Walahiii nlijutaa hata nauli yangu iliniuma sanaa yanii sanaaa...!! Manzi nahisi kipindi kile nlimuona vibaya au sijui ilikuwa ni ugumu.. Mrefu...mweusii...kapigwaa pasi balaaa..yanii
 
Back
Top Bottom