Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Juzi kati tuu nimefunga safari mpaka Bagamoyo huyu binti nlikutana nae kwenye Daladala enzi hizo nasomaa.. Miaka imepitaa ndo nkaona so mbaya nkaonane naee.. Walahiii nlijutaa hata nauli yangu iliniuma sanaa yanii sanaaa...!! Manzi nahisi kipindi kile nlimuona vibaya au sijui ilikuwa ni ugumu.. Mrefu...mweusii...kapigwaa pasi balaaa..yanii
usiniambiye kama hukunyoosha goti mkuu [emoji16] [emoji23]
 
Demiss umenichekesha hadi nmelia, eti kavaa likaptura likubwa kachomekea na litisheti, huishagi vituko jamani, mm huwa siwakimbii kabisaaa ntamuona nitasalimiana nae halaf namwambia bahati mbaya nmepata dharura sitaweza kukaa sana , nkitoka hapo nablock kila kitu ,sema labda wao ndo wananikimbiaga hahahahahah
Kama anakukimbia njoo kwangu plz
 
Juzi kati tuu nimefunga safari mpaka Bagamoyo huyu binti nlikutana nae kwenye Daladala enzi hizo nasomaa.. Miaka imepitaa ndo nkaona so mbaya nkaonane naee.. Walahiii nlijutaa hata nauli yangu iliniuma sanaa yanii sanaaa...!! Manzi nahisi kipindi kile nlimuona vibaya au sijui ilikuwa ni ugumu.. Mrefu...mweusii...kapigwaa pasi balaaa..yanii
Duu jamani
 
Back
Top Bottom