SWALI: Je, Una imani na Ujuzi wa Kitaalamu wa watoa huduma za Afya Tanzania?
Habari wadau wa JF?
Naamini wengi wetu tumeshawahi kupata huduma za afya au kuwasindikiza ndugu/rafiki wa karibu kupata huduma hizo. Nina swali kwako, tafadhali karibu kulijibu kulingana na uzoefu wako kwa mtoa huduma wa Afya uliekutana nae mara ya mwisho kabisa.
Pia, unaweza kuchangia chochote ambacho haukukipenda kutoka katika uzoefu huo. Ukiweza kufanya hivyo bila kutaja kituo cha afya itafaa zaidi ili tuweze kujifunza na kuboresha kwa pamoja.