Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Maanake na wao watoe ushahidi wao baada ya upande wa jamhuri kumaliza mashahidi waoHili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza...
Hatua hii ndio kesi ya msingi inaenda kuanzaHili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza...
Kwa nini mahakama iwaone na haja ya kujibu kabla ya kuwasikiliza?Maanake na wao watoe ushahidi wao baada ya upande wa jamhuri kumaliza mashahidi wao
Si ndiyo iwasikilize maana mahakama imeona kuna haja ya kuwasikiliza na wao baada ya jamhuri, huo ni utaratibu wa kimahakama duniani na hakuna cha ajabuKwa nini mahakama iwaone na haja ya kujibu kabla ya kuwasikiliza?
Yap ndiyo maana ya kujitetea anachotuhumiwa nacho kama kina ukweli then Jaji atalinganisha pande zote 2 na kutoa hukumu, hiyo imetokana na vielelezo kupokelewa mahakamaniWanasheria mtusaidie...... inamaana hapa Mbowe ndiyo anaanza kujibu hoja za mashahidi wa Jamhuri?
GoodAdhabu gani?
Freeman Mbowe hajatiwa hatiani bali amepewa fursa ya kusikilizwa!
Yap ndiyo maana ya kujitetea anachotuhumiwa nacho kama kina ukweli then Jaji atalinganisha pande zote 2 na kutoa hukumu, hiyo imetokana na vielelezo kupokelewa mahakamani
Adhabu gani?
Freeman Mbowe hajatiwa hatiani bali amepewa fursa ya kusikilizwa!
Wanasheria mtusaidie...... inamaana hapa Mbowe ndiyo anaanza kujibu hoja za mashahidi wa Jamhuri?
Okay, nimekuelewa vizuri mkuuNdio Hapo ndio atasema anamfahamu vipi urio,Kama alikuwa anawasiliana nae ,Kama alishawahi kumuita na kumtuma kazi,Kama alishawahi kumtumia hela n.k
Nilishasema hii kesi anayejua ukweli ni mbowe mwenyewe na kamanda urio.
Kama hayo mawasiliano waliyatengeneza ili ionekane mbowe anapanga mipango ya ugaidi.
Mbowe mwenyewe atasema
Kukutwa na kesi ya kujibu si kwamba umekutwa na hatia.Bali Jaji ameona kwamba kulikuwa na sababu za kuonesha kwamba sheria ilivunjwa.Sio GUILD VERDICT.Guilt verdict inafikiwa baada ya utetezi kuleta HOJA zao pamoja mashahidi wao ili kuthibitisha innocense yao.katika hatua hii DPP anaweza kuleta ombi la kutokutaka kuendelea na kesi(Sijajua athari ya kisheria ikoje na kanuni ziansemaje ila wajuzi wataongezea(Mimi sio DPP wala wakili) na nafikiri hili linaweza kutokea hasa kwa kuzingatia kwamba wangefanya hivyo kabla ya huu uamuzi wangekuwa wamekimbia kesi ila katika hatua hii tayari wameshajenga HOJA kwamba kesi yao sio ya kubumba mbele ya macho ya sheria.Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza.
Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne.
Maana yake ni kuwa hatia imeonekana. Je, wanapaswa kujitetea adhabu ipunguzwe ama wafutiwe makosa?
Je, DPP ana uwezo wa kuondoa shauri mahakamani ambalo tayari mahakama imewakuta watuhumiwa na kesi ya kujibu?
Naomba kuelimishwa.