Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Amewafikiria wanaume wa Dar. Rijali wa Dar mwisho bao 3 tu na hapo kesho hawezi kwenda kazini. Analala kutwa nzima. Midume wa mikoani hununua paketi hizo 3 yaani ndomu 9 na anatumia zote. Kesho anashika jembe balaaaa!
Acheni kudanganyana nyie kunguru wa mikoani

Kondomu zenyewe hamjui matumizi yake ndio maana hata maambukizi ya vvu yapo juu sana huko.

Labda mnanunua tisa kwaajili ya kupuliza mpambe kwenye happy birthday zenu
 
Back
Top Bottom