Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Nikinunua huwa nahesabu nisije nkauziwa kondom 1 kwa bei ya kondom 3 hahahaha si unajua tena hapa mjini
 
Durex condom kuna pakiti 1 kuna kondomu 5.

Wewe unanunua condom local.... [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…