Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

xtaper unauliza swali hili wewe ni ke au me kama ke je huwa mtu wako akija nazo huwa unazihesabu kabla ya kuruhusu kuzitumia ndo maana umezijua idadi yake. kama ni me una ruksa ya ku zi unpack na kuziweka 6 au zaidi ili kuondoa zana ya kuamini kuwa ni 3 tu hivyo uwasaidie wengine wawe wana piga bao zaidi au kwa idadi ya zilizomo kwenye paketi.
Nikinunua huwa nahesabu nisije nkauziwa kondom 1 kwa bei ya kondom 3 hahahaha si unajua tena hapa mjini
 
Durex condom kuna pakiti 1 kuna kondomu 5.

Wewe unanunua condom local.... [emoji23]
 
FB_IMG_1523398643957.jpeg
 
Back
Top Bottom