Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Wanaufahamu uwezo wa wanaume wa Dar, hawawezi kuvuka 3
 
Amewafikiria wanaume wa Dar. Rijali wa Dar mwisho bao 3 tu na hapo kesho hawezi kwenda kazini. Analala kutwa nzima. Midume wa mikoani hununua paketi hizo 3 yaani ndomu 9 na anatumia zote. Kesho anashika jembe balaaaa!
Tembo mwenye mashine kubwa zaidi anapiga bao moja...wewe unajisifu kupiga mengi umekua kuku?
Sio ujanja.
 
Mugongo mugongo nikawaza mbali shunie mm jamani yaani nikajua mambo ya dog style [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Ahahahahaha!!

Daaaah!!

Yaani we Shualina unachowaza ni ngono tu muda wote!!

Ila doggy style si mbaya. Si unaipenda eeh?

Ila hiyo inafaa ukiifanya uwe umetoka kuoga.....teh teh.

La sivyo utamnukisha mwenzio mbolea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…