Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Kumi za wapi hizo Julius?

Ngapi hizo?

D6B2F7A9-E4FF-4B02-8D1D-9479B4B6C13C.png
 
Kwa sababu wanaume wana uwezo wa kupiga goli 3 kwa usiku mmoja au kwa muda fulan baada ya hapoo why hawawez tena kuendeleaaa na game
Mbona nimefananisha na show ya jana naona c kweli 3 sio kwangu usiku mmoja labda niwe naumwa misuli ya miguu
 
Kwa sababu wanaume wana uwezo wa kupiga goli 3 kwa usiku mmoja au kwa muda fulan baada ya hapoo why hawawez tena kuendeleaaa na game
Sex haiko mathematical kiasi hicho, inategemea tu na utulivu wa akili, mood ya usiku huo. Pia kuna tofauti ya 'mtu uliye naye kila siku' na one night stand.
 
Mwenye jibu naomba msaada tutani. Je alifanya zikae condom tatu tatu alikua na maana kwa kawaida ni goli tatu tu ndio maximum??? Au???
Naona ni packaging tu, kama vile sigara pakiti zinakaa 20
 
maximum bao tatu kwa kondom,amabzo kwa kawaida probably ungekuwa umeenda 5 hadi 7
 
Hahahaaaaaaaaaa, nakula sana dona mboga mboga asali mkate wa kienyeji maharage kidogo na nyama

Ila wanawake wengine kwa kuwatazama kama vile hamna hamasa kuuumbe balaaa lenu sio la kitoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom