Jaman wanajamii nina swali kidogo mm nataka fanya biashara ya nondo na cement !!nilikuwa nataka kujua bei ya nondo kiwandan tani moja ni shillingi ngapi kwa size zote na pia bei ya twiga cement both extra na plus kiwandan inauzwaje na pia katika usafilishaji toka dar mpaka mwanza inakwenda kwa kiasi gani kwa mali hiyo nilioytaja hapo wanafjamii forum msaada kwa hilo