Swali katika Bei ya nondo na cement kiwandan na usafilishaji wake

Zachtracy

New Member
Joined
Nov 23, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Jaman wanajamii nina swali kidogo mm nataka fanya biashara ya nondo na cement !!nilikuwa nataka kujua bei ya nondo kiwandan tani moja ni shillingi ngapi kwa size zote na pia bei ya twiga cement both extra na plus kiwandan inauzwaje na pia katika usafilishaji toka dar mpaka mwanza inakwenda kwa kiasi gani kwa mali hiyo nilioytaja hapo wanafjamii forum msaada kwa hilo
 
Sina ufahamu na hii biashara but wakijibu itakuwa vyema mno
 
Mkuu kama unataka kufanya biaahara lazima una business plan. Humo lazima umeshaainisha ni wapi utapata hizo bidhaa (Suppliers).

Hivyo njia rahisi nakushauri utembele websites za hao suppliers wa nondo na cement na huko unaweza kuwasiliana nao na kujua mambo muhimu.

Au ikiwezekana kabisa ungejisogeza mpaka kwenye kampuni hizo kabisa in person.

Huku unaweza kuingia mikononi mwa makanjanja maana hapo umeshataja biashara ya nondo na cement wanajua kuna kimango ya kutosha.
 
Asante sana mkuu ntafanya hivoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…