SWALI; Kenya kuna vyama vingapi vya siasa?

kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
370
Reaction score
296
Wadau wanajf, nhitaji kujua nchini Kenya kuna vyama vingapi ? Maana nasikia vyama viwili tu , aliko UHURU na kile aliko ODINGA, pia nasikia ODINGA kajiondoa uchaguzi wa marudio wa tarehe 26 mwezi huu na upande wa Uhuru ukiendelea na kampeni za lala salama!! Vip hapo! Vyama vingapi vipo mpaka UHURU na chama chake waendelee na kampeni kwani wanashindana na nani?
 
Kuna vyama vingi Kenya... Nasa(ndani yake kuna vyama vingine vidogo) na Jubilee(wao pia wana vyama ndani Yao)...NASA na Jubilee ndio vikubwa nchini Kenya...
 
About 670 political parties

Mingi hata majina hauwezi ziskia .....
 
Wewe zwazwa unataka ujibiwe utakavyo au ujibiwe ukweli, vyama vipo vingi vidogo vidogo, vingine tunaita 'briefcase party', yaani havifahamiki kabisa, mtu kakisajiri kama njia ya kutafutia mtaji.

Haviwezi fikia idadi hiyo wewe!! Jipange kumtetea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…