kipoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2012
- 370
- 296
Wadau wanajf, nhitaji kujua nchini Kenya kuna vyama vingapi ? Maana nasikia vyama viwili tu , aliko UHURU na kile aliko ODINGA, pia nasikia ODINGA kajiondoa uchaguzi wa marudio wa tarehe 26 mwezi huu na upande wa Uhuru ukiendelea na kampeni za lala salama!! Vip hapo! Vyama vingapi vipo mpaka UHURU na chama chake waendelee na kampeni kwani wanashindana na nani?