Swali: Kimaadili ya dini je mtu alietoa mahari nusu humalizia kulipa iliyosalia kwa taratibu zipi ?

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
Peace,

Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa ningependa kupata rejea za maandiko najua jambo hili limeelezwa vyema katika vitabu vya dini hasa Uislamu.

Newly_married_couple_from_Dhaka_June_2014_01.jpeg
 
kwanza utambue katika uislam mahari ni haki ya mke, hivo atakachokuambia mkeo ndio unachotakiwa kumpa either kwa kumpa kamili au nusu na unatakiwa ndani ya uhai wako uhakikish umemmaliza usibakize deni.

kuhusu kummalizia ninachoona ukimmalizia nusu ilobakia mashahidi wapande zote mbili wanatakiwa kujua incas ikatokea mmepeana talaka au umefariki.
 
Umemaliza Ukhty
 
Back
Top Bottom