kwanza utambue katika uislam mahari ni haki ya mke, hivo atakachokuambia mkeo ndio unachotakiwa kumpa either kwa kumpa kamili au nusu na unatakiwa ndani ya uhai wako uhakikish umemmaliza usibakize deni.
kuhusu kummalizia ninachoona ukimmalizia nusu ilobakia mashahidi wapande zote mbili wanatakiwa kujua incas ikatokea mmepeana talaka au umefariki.