Swali kuhusiana Na Budget yetu..

Swali kuhusiana Na Budget yetu..

GAMBLER

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2009
Posts
303
Reaction score
11
Habari..
Nina gari yangu ndogo ambayo ninalipia road licence tsh 50,000/-. Kwa sasa road licence yangu imeisha mwanzoni wa huu mwezi wa sita, nimepanga kwenda kulipia mwezi wa saba. Budget juzi ilivyopitishwa,imepandishwa mpaka laki moja, Sasa ninauliza nikienda kulipa mwezi wa saba watani charge alfu 50 au laki moja??
 
Back
Top Bottom