Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIV inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
Na swali langu lipo Kwa upande wa tamisemiNdio. Watu wengi tu wamefanya oral Dar wakapangiwa kazi mikoa mingine. Hii ni kwa Wizara ya Afya. Kwa TAMISEMI bado hatujapata uzoefu kwanza
Ndio inawezekana, kwani huo mkoa mwingine hawaishi watanzania wenzako ?HIV inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?